UZINDUZI WA KITIVO
Mkuu wa Chuo Prof. Haruni Mapesa aliyesimama upande wa Kushoto akizindua kitivo kipya cha Uchumi na Taaluma za biashara, aliyesimama upande wa Kulia ni Naibu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Prof. Evariato Haulle.
UZINDUZI WA KITIVO
Mkuu wa Chuo Prof. Haruni Mapesa akimkabidhi vitendea kazi Dkt. Philip Daninga ambaye ameteuliwa kuwa Kaimu Mtiva, Kitivo cha Uchumi na Taaluma za Biashara.
MAONYESHO YA MAKISATU 2026
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Caroline Nomba akiwa na Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Haruni Mapesa wakiangalia bunifu za Wanafunzi wa Chuo hicho katika Maonesho ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yaliyofanyika mkoani Tanga
MAONYESHO YA MAKISATU 2026
Mkuu wa Chuo, Prof. Haruni Mapesa akikagua ubunifu wa fimbo ya kutembelea ya watu wasioona uliyobuniwa na Wanafunzi wa MNMA katika Maonesho ya MAKISATU mkoani Tanga