Latest News

WASTAAFU WAAGWA

Mkuu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Shadrack Mwakalila akiwakabidhi Zawadi Watumishi ambao wamestaafu Utumishi wa Umma ambao ni Bi. Theresia Kansio, Bi. Bahati Mselemu, Bi Simaki Mazigo.