WIKI YA UBUNIFU YA MAONESHO YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU.
Matukio mbalimbali ya Picha katika banda la Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wakati wa maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa katika viwanja vya Jamhuri mkaoni Dodoma. Ambapo Chuo kimeibuka na kuwa mshindi wa Tatu kitaifa. Kauli mbiu katika Maonesho hayo ni Ubunifu kwa Uchumi shindani. ...
Read more >
[ 2023-05-01 ]