MNMA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA KWA WANANCHI WA KIGAMBONI.
Timu ya watoa Elimu ya mpiga kura kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imeendelea kutoa Elimu ya hiyo kwa Wananchi wa maeneo ya Vijibweni, Tungi na Kigamboni jijijini Dar es salaam. Timu hiyo ya wataalamu ambao wana kibali maalumu cha -INEC- wamewasisitiza wananchi kujitokeza kupiga kura tarehe 29/10/2025 ili kutimiza haki yao ya kikatiba, pamoja na hilo pia wamewaelekeza wananchi namna sahihi ya kupiga kura. Imeandaliwa na: Kitengo cha Mawasiliano na Masoko CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE 08.10.2025 ... Read more >
[ 2025-10-10 ]
Visitors Counter
Flag Counter
Collaboration

TCU Link

NACTE Link
NECTA Link
ZHELB Link
HELSB Link
MoEST Link
MoEZ Link
Social Networks
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter
Contact us
Hotline : +255 (22) 2820041/47
P.O.BOX : 9193 Dar es Salaam,TANZANIA
Email : rector@mnma.ac.tz
Location : Kivukoni Dar-es-salaam