MKUU WA CHUO TANGA MAONESHO
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Haruni Mapesa ametembelea banda la Chuo hicho kwenye Maonesho yanayoendelea ya Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayofanyika Mkoani Tanga. Akizungumza na Waandishi wa Habari Prof. Mapesa amewakaribisha wadau mbalimbali kutembelea banda la Chuo kwa ajili ya kupata huduma zinazotolewa na Chuo ikiwemo kudahili Wanafunzi, na kujua aina ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho. Prof. Mapesa ameambatana na Naibu Mkuu wa Chuo anasimamia Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaal ... amu, Prof. Richard Kangalawe katika ziara hiyo ya kikazi Maonesho hayo yanefunguliwa Agosti 18,2026 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda na yatahitimishwa Agosti 24,2026 Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere 19.08.2028 Read more →