Latest News

SHEREHE YA KUAGA WASTAAFU

Picha za matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kuaga Wastaafu akiwemo Prof. Richard Kangalawe, Dkt. Edna Mtoi na Leonard Bukuku sherehe hizo zilizofanyika Novemba 12,2026 ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Chuo Prof. Haruni Mapesa.