CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA KIPENGELE CHA BIASHARA, UTALII NA MIPANGO
Naibu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Richard Kangarawe akiwa ameshika Ngao ya ushindi wa kwanza katika kipengele cha Biashara, Utalii na Mipango aliyokabidhiwa na Mgeni rasmi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda.
Chuo kineshinda Ngao pamoja na kukabidhiwa cheti cha ushiriki katika Maonesho ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi- NACTVET yaliyofanyika Katika Viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma kuanzia June 7 hadi 13, 2022.
...
Read more >
[ 2022-06-14 ]