rector

Prof. Shadrack Mwakalila

MKUU WA CHUO

Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (CKMN) ni taasisi ya elimu ya juu iliyotokana na Chuo cha Kivukoni kilichoanzishwa mnamo tarehe 29 Julai, 1961. Chuo kina historia ya kuwa taasisi pekee ambayo imehifadhi kumbukumbu muhimu za kuwajengea uwezo...

BREAKING NEWS ADMISSION INTO BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, ORDINARY DIPLOMA AND MASTER DEGREES PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2024/2025 - ADMISSION INTO BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE, ORDINARY DIPLOMA AND MASTER DEGREES PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2024/2025 CLICK HERE TO APPLY KOZI YA UONGOZI NA MAADILI BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

HISTORIA YA CKMN
  • Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere hapo awali kilikuwa ni zao la Chuo cha Kivukoni. Mnamo mwezi Februari, mwaka 1958 katika Mkutano wa Kitaifa wa TANU uliofanyika Tabora ulipitisha Azimio la kuanzisha Chuo cha watu wazima katika mfuatano wa Chuo cha Ruskin huko Oxford. Chuo kilichukuliwa kama chombo cha kueneza uelewa wa changamoto za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazozikabili nchi zinazoendelea kama vile Tanganyika ambapo watu wake walikuwa kati ya watu waliokuwa na uwezo wa kuwa viongozi katika nchi mpya iliyojitegemea, lakini hawakuwa na sifa zinazowawezesha kujiunga katika taasisi za elimu. Chuo cha Watu Wazima kilianzishwa rasmi tarehe 29 Julai, 1961 kama kampuni ya kibinafsi chini ya Sheria ya Kampuni (Sura ya 212).

    Taasisi hiyo ilipewa jina la Chuo cha Kivukoni. Wakati akizindua Chuo cha Kivukoni, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa TANU na Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo alikuwa na haya ya kusema juu ya jina la Chuo hicho.
     

MATANGAZO

                 Soma zaidi...

HABARI NA MATUKIO

 KIBWETA CHA MWALIMU NYERERE


Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kinapenda kuwatangazia
kuwa kutakuwa na Mafunzo maalumu ya Uongozi na Maadili yatakayofanyika kwa
muda wa wiki moja.
               Soma zaidi...

 
KOZI MUDA MFUPI
TOEFL & GRE
LUGHA YA KICHINA
KISWAHILI KWA WAGENI

 

WAHITIMU
Karibu kwenye ukurasa wa tovuti ya wahitimu. Ukurasa huu unawapa wahitimu njia ya kuwasiliana kila mmoja na kupashana juu ya masuala mengi zaidi. Lengo kuu ni kusaidia kuendeleza dhima, malengo ya kielimu ya CKMN na kudumisha uhusiano na wahitimu wake.

+ Jiunge

Idadi ya Waliovinjari
Flag Counter
Washirika

TCU

NACTE
NECTA
ZHELB
HELSB
MoEST
MoEZ
Mitandao ya kijamii
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter
Wasiliana Nasi
Simu : +255 (22) 2820041/47
S.L.P : 9193 Dar es Salaam,TANZANIA
Barua Pepe : rector@mnma.ac.tz
Mahali : Kivukoni Dar-es-salaam