MAONESHO YA ELIMU YA JUU - ZANZIBAR
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibarr Mhe. Lela Mohamed Musa amekipongeza Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa kufanya bunifu zenye tija na zitakazosaidia kutatua changamoto katika jamii, huku akikitaka Chuo kurndeleza bunifu hizo. Amesema hayo alipotembelea banda la Chuo katika maonesho ya wiki ya Elimu ya Juu yanayoendelea visiwani Zanzibar. ...
Read more >
[ 2022-06-23 ]