MAFUNZO YA UONGOZI NA MAADILI YATOLEWA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
Naibu Mkuu wa Chuo anaesimamia Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Richard Kangalawe leo amefungua Mafunzo ya siku Tano ya Uongozi na Maadili kwa Wanafunzi wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni. Prof. Kangarawe amesema Lengo la mafunzo hayo ya Uongozi na Maadili ni kuwajengea Uwezo Wanafunzi Waweze kujitambua na kujua uhuru wao, haki na wajibu, na Kuwa Wazalendo katika nchi yao. Naibu Mkuu huyo wa Chuo amesema Chuo kwa sasa kimeanzisha Mitaala ya Kozi za muda mrefu kuanzia ngazi ya Cheti mpaka Shahada ya ... Pili katika Mafunzo ya Uongozi na Maadili. Mafunzo hayo yanatolewa kwa Wanafunzi zaidi ya Elfu Tatu wanaotarajiwa kuhitimu kozi mbalimbali za Shahada ya Kwanza, Diploma na kozi ya Cheti kwa mwaka wa Masomo 2022/23. Baada ya Mafunzo hayo Wahitimu watatunukiwa vyeti vya Uongozi na Maadili. Mafunzo haya ya siku tano yanaanza Leo Julai 10,2023 na yatakamilika Julai 14,2023. Imetolewa na: Kitebgo cha Habari na Masoko CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE 10.07.2023 Read more >
[ 2023-07-14 ]
Visitors Counter
Flag Counter
Collaboration

TCU Link

NACTE Link
NECTA Link
ZHELB Link
HELSB Link
MoEST Link
MoEZ Link
Social Networks
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter
Contact us
Hotline : +255 (22) 2820041/47
P.O.BOX : 9193 Dar es Salaam,TANZANIA
Email : rector@mnma.ac.tz
Location : Kivukoni Dar-es-salaam