|
|
SEBARUA AZIKWA JIJINI DAR ES SALAM
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Shadrack Mwakalila leo ameowaongoza Watumishi wa Chuo hicho kuaga Mwili wa Marehemu Rehema Arthur Sebarua katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God King’ongo Spiritual Center lililopo Wilaya ya Ubungo,Jijini Dar es Salaam.
Akisoma Wasifu wa Marehemu, Mkuu wa Kampasi ya Karume Dkt Rose Mbwete amemuelezea Marehemu Sebarua kuwa alikuwa Mtumishi hodari na hadi umauti unamfika alikuwa anahudumu katika nafasi ya mhadhiri msaidizi katika Idira ya Elimu, Kampasi ya Karume.
Familia ya marehe ...
u imeushukuru uongozi wa Chuo kwa ushirikiano iliouonesha kuanzia mwanzo wa msiba hadi hatua ya mwisho ya kumpumzisha Marehemu Rehema Sebarua.
Imetolewa na;
KITENGO CHA MAWASILINO NA MASOKO,
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
15.07.2023
Read more >
[ 2023-07-19 ]
|
|
|
|