UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA PEMBA
Matukio mbalimbali ya Picha ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Kampasi ya Pemba, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Uwekaji huo wa jiwe la Msingi umefanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. ...
Read more >
[ 2023-07-19 ]