|
|
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ELIMU, UTAMADUNI NA MICHEZO YAIPONGEZA MNMA
Kamati ya kudumu ya Bunge Elimu, Utamaduni na Michezo Jana Jumanosi tarehe 26.8.2023 ilitembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Hostel za wanafunzi za Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika kampasi ya Karume, iliyopo Bububu Zanzibar.
Kamati hiyo ya Bunge iliongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Ramadhan Sima ambaye amekipongeza Chuo kwa kutekeleza mradi huo, na kusema kuwa thamani ya fedha iliyotumika inaonekana.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mzee Stephen Wasira na Mkuu wa Chuo Profesa Shadrack Mwakalila wameishukuru k ...
mati na serikali kwa kutenga bajeti ya mradi, na kuiomba serikali itengwe bajeti ya kutosha kumaliza mradi huo
Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano na Masoko
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
27.08.2023
Read more >
[ 2023-08-27 ]
|
|
|
|