|
|
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE NA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WASAINI MAKUBALIANO
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere leo wameshiriki katika hafla ya pamoja ya kutia Saini hati ya Makubaliano ya ushirikiano katika Kutambua,kuhifadhi,Kulinda,kuendeleza na kutangaza urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika.
Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Suleiman Serera ameshuhudia utiaji saini makubalino hayo na kusema kuwa historia lazima iwe na misingi m?zuri, ukombozi unaleta utu, heshima na Elimu sahihi ya kuendeleza ukombozi wa kifikra.
Dkt. Serera amesema anaa ...
ini kuwa yale yote ambayo yamesainiwa atahakikisha yanatekelezwa na yanakwenda vizuri .
Kwa upande wake Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Shadrack Mwakalila amesema Makubaliano haya ni ya msingi na anaamini yataenda kuleta matokeo Chanya kwa pande zote mbili.
Prof. Mwakalila amesema kumekuwa na Changamoto ya Uzalendo kwa vijana, hivyo kupitia Mashirikiano hayo yatawezesha vijana kujua historia ya nchi na nchi nyingine na hivyo itakuwa rahisi vijana kupenda nchi yao na kuwa Wazalendo.
Read more >
[ 2024-05-17 ]
|
|
|
|