|
|
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KINASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA
Naibu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Nwalimu Nyerere anayesimamia masuala ya Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaaluma Prof. Richard Kangalawe ametembelea banda la Chuo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara, maarufu Kama Sabasaba.
Prof. Kangalawe amesema kupitia Maonesho hayo Chuo kinapata fursa nzuri ya kujitangaza na kuonesha aina ya kazi zinazofanywa na chuo hicho kwa Wadau.
Amesema Maonesho hayo ni fursa ya Kutangaza nafasi mbalimbali za kozi zinazotolewa Chuoni hapo, fursa kwa wanataaluma kuonesha machapisho yao mbalimbali pa ...
oja na
Kuonesha Kazi mradi za wanafunzi zinazoandaliwa na Wanafunzi wa Chuo hicho.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Masoko
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
04.07.2024
Read more >
[ 2024-07-06 ]
|
|
|
|