MNMA YAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI KIJINSIA
Mratibu wa dawati la jinsia, Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Gift Msowoya kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii,. jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu ( WMJJWM) amewataka Wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuwa Mabalozi wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa lengo la kutokomeza aina zote za Ukali. Msowoya amesema hayo wakati wa kongamano la Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia lililofanyika chuoni hapo ambapo amesiaitiza kuwa vitendo vya Ukatili wa Kijinsia ni miongoni mwa matukio yasiyokubalika yanayoendel ... a kujitokeza ambapo husababisha madhara kwenye Jamii na kurudi she nyuma Maendeleo ya nchi. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Chuo, Naibu Mkuu wa Chuo anaesimamia Taaluma Prof Richard Kangalawe amesema Chuo kwa saaa kinafundisha Kozi za jinsia kwa ngazi zote na kuwa huo ni mchango mkubwa kwa Jamii. Prof. Kangalawe amesema kuwa kuwepo kwa vitendo vya ukatili katika kamii ni kukosekana kwa Maadili, hivyo Chuo Kinatoa Kozi na Uongozi na maadili ili kusaidia kupunguza changamoto mbalimbali katika Jamii Amesema, Uanzishwaji wa dawati la jinsia hapa Chuoni tangu mwaka 2022 umesaidia kupunguza changamoto za ukatili wa kijinsia na kuwa changamoto zinazojotokeza zitaendelea kupatiwa ufumbuzi. Mratibu wa Mradi wa 03 plus ( our right, our lives our future Plus) Numbilya kiseko amewataka Wanafunzi kuvunja ukimya kuhusu ukatili ukimyakitokoneza ukatili wa vitendo vya ukatili na badala yake taarifa zitolewe ili zipatiwe ufumbuzi kwa lengo l a kuwa na mazingira salama na jumuishi. Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano na Masoko CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE 6.12.2024 Read more >
[ 2024-12-09 ]
Visitors Counter
Flag Counter
Collaboration

TCU Link

NACTE Link
NECTA Link
ZHELB Link
HELSB Link
MoEST Link
MoEZ Link
Social Networks
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter
Contact us
Hotline : +255 (22) 2820041/47
P.O.BOX : 9193 Dar es Salaam,TANZANIA
Email : rector@mnma.ac.tz
Location : Kivukoni Dar-es-salaam