MNMA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA KWA WANANCHI WA KIGAMBONI.
Timu ya watoa Elimu ya mpiga kura kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imeendelea kutoa Elimu ya hiyo kwa Wananchi wa maeneo ya Vijibweni, Tungi na Kigamboni jijijini Dar es salaam.
Timu hiyo ya wataalamu ambao wana kibali maalumu cha -INEC- wamewasisitiza wananchi kujitokeza kupiga kura tarehe 29/10/2025 ili kutimiza haki yao ya kikatiba, pamoja na hilo pia wamewaelekeza wananchi namna sahihi ya kupiga kura.
Imeandaliwa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Masoko
CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
08.10.2025 ...
Read more >
[ 2025-10-10 ]