PROF MAPESA AKABIDHI MSAADA WA VITIMWENDO KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU
PROF MAPESA AKABIDHI MSAADA WA VITIMWENDO KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU Mkuu wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Harun Mapesa, leo amekabidhi vitimwendo viwili vya kutembelea (wheel chair) na magongo ya kutembelea seti mbili kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Profesa Mapesa, amesema kuanzia mwakani chuo kitakuwa na mtandao mpana wa kuwasaidia watu wenye Mahitaji Maalum kwani kwa sasa Miongozo na Kanuni imeshapitishwa hivyo inaru ... usu kuweka bajeti kwa ajili ya vifaa hivyo na kuwa Miundombinu itakayojengwa itazingatia Wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu. Mkuu huyo wa Chuo ameipongeza serikali ya Wanafunzi wa chuo hicho (MASO) kwa kununua kitimwendo kimoja kwa ajili ya wanafunzi wenzao wenye mahitaji maalumu, amesema Vijana hao wameonesha mfano wa kuigwa kwa kuleta faraja kwa wanafunzi wenzao, hivyo amewaomba wadau wengine kuiga mfanao huo wa kujitolea kwa ajili ya Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu. Read more >
[ 2026-02-26 ]
Visitors Counter
Flag Counter
Collaboration

TCU Link

NACTE Link
NECTA Link
ZHELB Link
HELSB Link
MoEST Link
MoEZ Link
Social Networks
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter
Contact us
Hotline : +255 (22) 2820041/47
P.O.BOX : 9193 Dar es Salaam,TANZANIA
Email : rector@mnma.ac.tz
Location : Kivukoni Dar-es-salaam
W
E
L
C
O
M
E