Latest News

VIONGOZI WAPYA WA MASO WAAPISHWA

Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Shadrack Mwakalila akiwaapisha viongozi wa serikali ya Wanfunzi MASO ambapo amewataka Viongozi hao kuzingtia Sheria, Kanuni na taratibu za Chuo, huku akiwata viongozi hao kuwa mfano wa kuigwa.