MAHAFALI YA 17 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE - KAMPASI YA KIVUKONI
Matukio mbalimbali katika picha ya mahafali ya 17 kwa kampasi ya Kivukoni yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Ijumaa Novemba 25, 2022. Mahafali hayo yaliongozwa na mgeni rasmi Dkt. Francis Michael Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Mkuu wa Chuo Profesa Shadrack Mwakalila. ...
Read more >
[ 2022-12-01 ]