|
|
|
KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BABA WA TAIFA, MWALIMU J.K. NYERERE
Matukio mbalimbali ya Picha kuhusu Kongamano la siku moja la Kumbukumbu ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwalimu J.K.Nyerere lilifanyika Chuoni ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklyn Rwezimula ambaye pamoja na mambo mengine amesisitiza Watanzania kuendelea kudumisha Amani, Upendo na Mshikamano. Pia alizitaka sekta za Umma na zile za Binafsi kuhakikisha wanatumia vyema fursa ya Mafunzo ya muda mfupi ya Uongozi na Maadili yanayotolewa katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Mada ...
uu katika kongamano hilo ni: “Amani na Usawa Kwa Maendeleo ya Tanzania”
Read more >
[ 2023-04-18 ]
|
|
|
|