Orodha ya
Programu za Astashahada zinazotolewa na Chuo
1. Astashahada ya Msingi katika Maendeleo ya Uchumi
2. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Usimamizi
wa Rasilimali Watu
3. Astashahada ya Msingi ya Fundi katika Kazi ya
Vijana
4. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Uhasibu
5.Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Utawala wa
Biashara
6. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Maendeleo
ya Jamii
7. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Ununuzi na
Ugavi
8. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika utunzaji
wa Kumbukumbu, Nyaraka na Usimamizi wa Habari
9. Astashahada ya Msingi ya Ufundi katika Maktaba na
Usimamizi wa Habari
10. Astashahada ya Msingi ya ufundi katika
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
|