Orodha ya Programu za Shahada zinazotolewa
na Chuo
1. Shahada ya kwanza katika Uchumi wa Maendeleo
2. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Jiografia
na Historia
3. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Jiografia
na Kiswahili
4. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Jiografia
na Kiingereza
5. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Historia na
Kiingereza
6. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Historia na
Kiswahili
7. Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Kiswahili
na Kiingereza
8. Shahada ya kwanza katika Jinsia na Maendeleo.
9. Shahada ya kwanza katika Usimamizi wa
Maendeleo ya Jamii
10. Shahada ya kwanza katika Usimamizi wa
Rasilimali watu
|