Chuo hiki ni taasisi ya kisheria inayotambuliwa na mamlaka
ambayo ilipata Usajili na Ithibati kamili katika kiwango
cha NTA 9 (kiwango cha digrii ya Umahiri) kutoka Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) mnamo Mei 21, 2002
na 30 Novemba, 2005.
Chuo kilipewa ithibati kwa mara nyingine mnamo mwaka
2012 na 2017 mtawalia.