Dira
Dira ya chuo ni kuwa
kitovu cha
utoaji wa maarifa
bora kwa kutoa elimu
na mafunzo kuhusu
ubunifu na uvumbuzi
wa kuendeleza amani
na umoja wa kitaifa.
Dhima
Dhima ya chuo ni
kujitolea kwa dhati
kuendeleza utoaji wa
elimu ya kudumu
kupitia ufundishaji
bora, utafiti, kuwa
na mazingira ya
kujifunzia yenye
changamoto na
yanayosaidia ambapo
upataji wa maarifa,
utafiti wa ubunifu,
umakini na stadi
tumizi zitaendelezwa
na kudumishwa.