Orodha ya programu za Stashahada
zinazotolewa na Chuo hicho
1. Stashahada katika Uhasibu
2. Stashahada katika Utawala wa Biashara
3. Stashahada ya Ununuzi na Ugavi
4. Stashahada katika Maendeleo ya Jamii
5. Stashahada katika Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano
6. Stashahada katika Utunzaji wa Kumbukumbu,
Nyaraka na Usimamizi wa Habari
7. Stashahada katika Masuala ya Jinsia katika
Maendeleo
8. Stashahada katika Usimamizi wa Rasilimali
Watu
9. Stashahada katika Usimamizi wa Maktaba na
Habari
10. Stashahada katika Taaluma za Jamii
11. Stashahada katika Maendeleo ya Uchumi
|