Chuo
kimedhamiria
kutoa tafiti
za hali ya
juu ili
ziweze
kuleta
athari kwa
jamii ya
kitaifa na
ya kimataifa
ili
kuchochea
upatikanaji
wa fedha za
kuwafadhili
washiriki na
wanachuo
wanaotarajiwa
kufanya
tafiti za
uzamili.
Kitengo cha
Utafiti na
Ushauri wa
kitaaluma
kinahakikisha
kuwa:
Tafiti
zilizofanywa
zinakuwa
bora zaidi
na
zinazoweza
kutumiwa na
wadau wa
utafiti
katika
usimamizi,
utekelezaji
na tathmini
ya mipango
yake.
1. Matokeo
ya utafiti
hutumiwa
vizuri
katika
kutatua na
kujibu shida.
2. Tafiti
zote
hupitiwa na
kutathminiwa
kufikia
viwango vya
kidunia na
vya
kimataifa.
3. Mada za
utafiti na
maswali ni
muhimu na
ziko katika
vipaumbele
vya Chuo.
4.
Kuhakikisha
zinatumika
njia
tmbalimbali
za kitaaluma
katika
tafiti zote
ili kupata
matokeo bora
zaidi ya
kisayansi.
5.
Wanataaluma
kutoka fani
mbalimbali
wanatumia
tafiti hizo
kuhakikisha
wanatoa
huduma za
Ushauri wa
kitaalamu
kwa taasisi
za serikali
na binafsi
na ndani na
nje ya nchi.
|